Kiwanja kina hati, kipo pembeni ya barabara ya lami , kinafaa kwa ujenzi wa kituo cha mafuta , supermarket nk . kipo gezaulole ni mwendo wa 14km toka feri ya kigamboni bei ni 250m . kwa mahitaji...
Natafuta chumba kibaha maili moja,chumba kiwe kisafi na jiko liwepo maji yawepo kwenye hiyo nyumba.Nalipa elfu 60000 kwa mwezi nitalipa miezi minne.Mwenye nacho anitafute 0762 629138.
Wadau habari za mchana?
Msaada please kwa anayejua sehemu ninayoweza kupata mbegu ya mpunga aina ya SUPER hapa DSM au mikoa ya jirani.
Natanguliza shukrani.
Naitwa SULEMAN nipo MAGU najishughulisha na kazi za UMEME kwa yule atakaye nihitaji apige simu no:0765400737.nafanya kazi kwa siku sits isipokuwa siku ya jumamosi . Asante
This is a fast developing area for residential and investments purposes. Its along the road to Merelani after leaving Old Moshi road and across railway at the first location of wooden electricity...
Wana jf
nauza mayai ya kuku wa chotara ni matamu na mazuri kwa lishe
bei:yai moja ni sh 300 na kwa tray moja ni sh 8000 tu wahi fursa
kuku:
vifaranga vya wiki tsh 1400@
vifaranga vya mwezi 2000@...
Nahitaji shamba la Heka 10. Liwe barabarani, sio lazima Mkuranga hata mbele zaidi, ila isizidi 100km kutoka Dar. Bei isizidi 100,000/=/Heka. Contact 0779420000
eneo kubwa La wazi linauzwa pia ndani yake Lina nyumba ya vyumba vi4 na fremu za biashara 4. eneo hill liko karibu sana na barabara kuu na kuna Barabara ya Gari inafika mpaka kwenye eneo hilo...
wanajamvi mambo zenu, natafuta kiwanja cha makazi au hata shamba kiwe maeneo ya ifunda au kibaoni hadi kufika kule secondary hata kwa juu juu kule...mlioko iringa maeneo haya kama unamjua mtu...
Wadau kama kuna mtu yeyote ambaye ana ofisi maeneo ya Mbagala rangi tatu au Kariakoo Aggrey. Awe ni wa hardware namaanisha mimi nahitaji kuwa kitengo cha software (flashing, unlock).
Nipo na...
habari wadau..
single masterbedroom kinapangishwa ubungo external near mabibo hostel.
chumba hicho kipo nyuma ya epza. kipo ndani ya fence na kuna gate
pia kuna umeme na maji dawasco...
Model: Toyota Raum
Man year: 2004
cc: 1490
odometer: 82,000
Mimi sio dalali gari ni ya ndugu yangu wa karibu sana na iko katika hali nzuri sana.. ukihitaji mchek 0713082305 pia maelewano yapo
Habari wadau.....
Nauza shamba hekari Moja na nusu lina miti ya paini iliyo na miaka mitatu bei ni Tsh=1000,000 tu....
Kwa mawasiliano
0768181757 au utaliijackson@yahoo.com...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.