Hiyo si new model, ni second generation. Nilikuwa na gari hiyo 2007.Offer rav 4 2002 new model kwa mil 6.5 ipo vizuri haina tatizo lolote kama upo serious na hii gari ni chek kwa hii namba 0716385824
Au Tayari gear box imeshaanza kufanya mambo yake?
Offer rav 4 2002 new model kwa mil 6.5 ipo vizuri haina tatizo lolote kama upo serious na hii gari ni chek kwa hii namba 0716385824
Au Tayari gear box imeshaanza kufanya mambo yake?
Mkuu kichwa cha thread na body umeandika Rav4 2002 New Model. Labda ungeandika RAV4 2002 Second Generation, maana New Model kwa sasa ni Fourth Generation.ndomana nimekueleza kabisa nimodel ya 2002
Mkuu kichwa cha thread na body umeandika Rav4 2002 New Model. Labda ungeandika RAV4 2002 Second Generation, maana New Model kwa sasa ni Fourth Generation.
Hahahaha, taratibu kaka, si utaenda na fundi. Halafu zilivyo na visa unaweza kupiga test drive kwenda moro na kurudi isioneshe chochote, kesho asubuhi tu haisogei, ikipenda baadae tena inakuwa fresh!
Hiyo gari ina engine aina gani?
Mmh...6.5m? Kuna walakini hapa
Offer rav 4 2002 new model kwa mil 6.5 ipo vizuri haina tatizo lolote kama upo serious na hii gari ni chek kwa hii namba 0716385824