Kiwanja kinauzwa kipo mji Mwema Kigamboni

Kiwanja kinauzwa kipo mji Mwema Kigamboni

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Kina ukubwa wa sqm 3800, kipo tambalale kinafaa kwa shughuri kama makazi' ufugaji au yard! Kipo umbali wa 1.4km kutoka barabara kuu inayoenda geza. Upimaji wa awali umefanyika unaonesha ni eneo la makazi! Halipo kwenye mradi wa kigambonii. Lipo kati ya geza na kibada. Bei ni T.sh 70m. Tuwasiliiane 0657 14 55 55.
 
kwa mahitaji ya kiwanja hiki na vingine vingi tuwasiliane wadau , kuanzia kigamboni mpaka mpemba mnazi viwanja vipo , bunju mpka bagamoyo 0657145555
 
Kigamboni ushakuwa Kama masaki ss eheee kiwanja mpaka 70M busheeet madalali mm nnaviwanja zaidi ya Kumi cha bei ya juu nmechukua kwa laki tano
 
Kigamboni ushakuwa Kama masaki ss eheee kiwanja mpaka 70M busheeet madalali mm nnaviwanja zaidi ya Kumi cha bei ya juu nmechukua kwa laki tano
bei ya kiwanja haipangwi na dalali mmiliki ndiyo anapanga dalali analipwa commission , hongera kwa kuwa na viwanja vingi
 
bei ya kiwanja haipangwi na dalali mmiliki ndiyo anapanga dalali analipwa commission , hongera kwa kuwa na viwanja vingi
Mkuu muambie na dalalitz pia kampa hongera kwa kuwa na viwanja vingi.
 
kiwanja bado kipo bei inaongeleka tukaa mezani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom