Habari wadau.....
Nauza shamba hekari Mona name nusu lina miti ya Paine iliyo na miaka mitatu bei ni Tsh=1000,000 tu....
Kwa mawasiliano
0768181757 au utaliijackson@yahoo.com
Karib..... shamba liko iringa.
Habari wadau.....
Nauza shamba hekari Mona name nusu lina miti ya Paine iliyo na miaka mitatu bei ni Tsh=1000,000 tu....
Kwa mawasiliano
0768181757 au utaliijackson@yahoo.com
Karib..... shamba liko iringa.
Hivi mleta mada hilo shamba kweli ni lako au wewe ni tapeli?
Ulikuwa na sababu zipi kuanzisha mada yako kwa pupa namna hii!?
Sentensi zako hazieleweki na ni dalili za utapeli hizi. Mods tafadhalini ondoeni hili tangazo haraka iwezekanavyo.
Invisible
Ni makosa ya uandishi, shamba hekari moja na nusu bei ni million moja. Karib Kama unahitaji hakuna utapeli.