Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Gari ndogo milango mitano, Toyota PLATZ ya 2004 in a very good condition inauzwa tuwasiliane # 0712 477976 kwa maelekemzo zaidi.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana JF, Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Bunju B. Nyumba iwe ya vyumba 2 vya kulala, sebule jiko, choo na bafu. Aidha iwe na umeme na maji pamoja na mazingira salama. Wasiliana name...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu kwa atakae hitaji DVD za software programs kama vile windows, drivers za kila aina, Microsoft office na program zikiwa ktk DVD, nk anaweza kupata kwangu, bei ni tsh elfu kumi tu. mawasiliano...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza simu yangu aina ya samsung note two kwa bei punguzo ya laki370.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wa kuu , tunatoa huduma za kutengeneza pump za kuvuta maji kwenye kisima , pamoja na kuzifunga ile ilete maji kwenye tank, pia tunatoa huduma ya kuchimba visima kwa gharama nafuu sana , garama...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nomba kujua members wanaoishi Tanga Raskazone Kuna ndugu yangu anataka kuwa mkazi wa kule,sasa kuna makazi anatafuta
0 Reactions
13 Replies
3K Views
............ Features: Storage 8GB Video resolution HD 720P (1280*960) Video format AVI Built In Microphone: Max Audio Range 15 Meters Battery working time 70--90 minutes Time and date stamp on...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habar wapendwa.nauza mikanda ya kupunguza tumbo.ni ya mtumba.kama ukifata mashart ntakayokupa ndan ya wiki moja tumbo linaisha.nauza elfu 30 naleta ulipo.napatikana kwa namba 0712620078
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mashine za kisasa kutoka inje ya inchi,Ni automatic, Siyo used,ni mpya kabisa,mawasiliano,0754645253.
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Ningependa kuwafahamisha wale waliopo bara ulaya , wanaokwenda uko hata waliopo hapa nchini bado ukujaliwa kwenda uko hasa nchini sweden, kuwa mgahawa wa kisasa unaouza hasa vyakula vya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
noah nalihitaji japo cjui specification nadhan nitasaidiwa seriously
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jipatie hand bags Za kijanja za ngoz kwa bei nzuri Kwa wale wanao toa cash ni sh 50000 wanao kopa 55000 tunakuletea ulipo kwa wakopaji tutaeleweshana zaidi kwa mahitaji yako piga 0754 969 663...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Wakuu mwenye Hotel,Lodge,Bungalow au aina yoyote ya biashara ya malazi kwa miji ifuatayo Dar es Salaam Pwani nikilenga bagamoyo Arusha Mwanza Kilimanjaro Note:Mlengwa anaehitaji ni Mzungu Unaweza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
gx100
0 Reactions
1 Replies
1K Views
natafuta gari yoyote ya toyota body iwe saloon kama carina corolla corona
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina Plot/Kiwanja chenye Sqmt-647. Nahitaji Mchoro wa Servant Quarter. Kijumba chenyewe kitatumika kwa Shughuli za Kiofisi kwani nataka niweke hapo Site ya Tofali na Hardware kabla ya kuja...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Laki 3
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nauza kiwanja urefu mita 32,upana mita 21 barabara hadi kwenye kiwanja.Bei ni milioni 8,mazungumzo yapo.0683097293
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza kiwanja urefu mita 32 na upana mita 21,barabara hadi kwenye eneo.Bei ni million 8,mazungumzo yapo.0683097283
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nauza suzuki escudo ikiwa katika hali nzur na haina rekodi yoyote ya ajali automatic gear 4wd yom 1997 mileage 170k bei ni 6.5mil meshindwa kuweka pics hapa so ukipenda nitafute kwa...
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…