Wa kuu , tunatoa huduma za kutengeneza pump za kuvuta maji kwenye kisima , pamoja na kuzifunga ile ilete maji kwenye tank, pia tunatoa huduma ya kuchimba visima kwa gharama nafuu sana , garama hutoka baada ya kufanya survey na kujua maji yapo umbali gani ndipo tunatoa bei. kwa matengenezo generator , motor za kusukuma maji , pamoja na kuchimbiwa kisima , kuwekewa tank la maji tuwasiliane 0657145555 tupo kipunguni B gongo la mboto.