Gari ndogo inauzwa (Toyota Platz 2004)

Gari ndogo inauzwa (Toyota Platz 2004)

mt halisi

Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
49
Reaction score
8
Gari ndogo milango mitano, Toyota PLATZ ya 2004 in a very good condition inauzwa tuwasiliane # 0712 477976 kwa maelekemzo zaidi.
 

Attachments

  • IMG_00000657.jpg
    IMG_00000657.jpg
    464 KB · Views: 533
  • IMG_00000658.jpg
    IMG_00000658.jpg
    601.7 KB · Views: 478
  • IMG_00000659.jpg
    IMG_00000659.jpg
    656.1 KB · Views: 457
  • IMG_00000660.jpg
    IMG_00000660.jpg
    653.1 KB · Views: 446
jf ina maelf ya watu kila mtu jf akikupgia kujua bei c itakuwa fujo? weka bei kabisa bana
 
Gari inajiuza yenyewe tu hata asipoweka bagaining price, mkoko huo. Wazxee wa 3.5m tukae mbali naona mashine bado inajoto la TRA hapo
 
Njoo uchukue kwangu showroom 6.5ml, hiyo yako itakua bei ya noah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom