Nyumba ya kupanga inatafutwa Bunju

Nyumba ya kupanga inatafutwa Bunju

magesa77

Senior Member
Joined
May 22, 2011
Posts
123
Reaction score
15
Habari wana JF, Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Bunju B. Nyumba iwe ya vyumba 2 vya kulala, sebule jiko, choo na bafu. Aidha iwe na umeme na maji pamoja na mazingira salama. Wasiliana name kupitia 0717 441184
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom