Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Sony Xperia T for sale from UK in excellent condition no scratch na iko complete na kila kitu chake. Sina picha at the moment kwa anaehitaji namba yangu 0713 404014 bei 420
0 Reactions
0 Replies
945 Views
freezer safi na zuri ambalo haijatumika zaidi ya mwaka. Linauzwa laki NANE (800,000/=) unaweza kulitumia kwenye duka la samaki, nyama, matumizi ya nyumbani na kuifadhia vinywaji. NIPO MABIBO...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Salaam, Nauza shamba heka 10.Zote nataka milioni 3 na nusu. Mimi mwenyewe ndio muhusika. Anayehitaji tuwasiliane PM, Pia nitumie na namba yako ya simu kwa maelezo zaidi. Asanteni.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za leo wadau wote wa JF... Nahitaji TV flat screen with original remote control, mwenye nayo naomba aniPM hapa hapa jamvini haraka akinifahamisha wapi ilipo, aina na gharama Kila la kheri
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari!!!?? Nyumba ina vyumba 4 kimoja ni master. Ina vyoo viwili. Pia ina Study Room ambayo haijakarabatiwa kwa ndani. Vile vile kuna stoo moja. Kuna Sitting Room, Dining na Jiko pia. Kuna...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Laptop hii haina tatizo lolote wala haija wai funguliwa na maanisha sild zote zipo na inatumia simcard huna haja ya modem, niwemuwazi sehemu ya kamera ina crack ingawa camera inafanya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu simu tajwa hapo juu inahitajika haraka bajeti 120000 iwe na hali nzuri 0712402951
0 Reactions
2 Replies
792 Views
Connect General Supplies ni wasambazaji maarufu wa Mashine za Kisasa “Automatic” za Kutotolesha vifaranga vya Kuku, Kwale, Kanga, Bata n.k.Mashine zinasifika kwa ubora na uimara wake wa hali ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza spare za laptop hp 650 Betri 60000 inakaa 4hrs Cd room 40000 mpya kabisa Chaja 25000 Ram 2gb 40000 Keypard 50000 Kioo screen 15.6 inches 150000 Kwa mawasiliano 0765480855
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Rejea kichwa habari hapo juu Inaitajika I phone 5s haraka kidogo
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani, Naomba kuuliza naweza pata smartphone gani nzuri kwa laki 2 dukani? Arusha au Moshi!
0 Reactions
21 Replies
5K Views
features. 2g ram 16 gb internal storage 8mp camera. unique keyboard (it can learn fast when you type ) black in mint condition. can run both bb world and android apps smoothly price 330,000/=tzs...
0 Reactions
2 Replies
893 Views
Gari aina ya Nissan Sunny inauzwa Arusha mjini bei Tzs 4.5M. Ni PM for more details
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pikipiki guta inayotumia ragetor ni bei ngap hapà Tanzania?
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Toyota IST for Sale (New) Used for 3 Months Engine Capacity 1496 Registration T.......DCR Year of Manufacture 2002 Colour: Silver Body: Saloon Price 9 M Fully A/C Location DSM Phone 0774819712
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa, Kipo Halmashauri ya Mji Kibaha, Tarafa ya Kibaha, Kata ya Kongowe Mtaa wa Mwambisi-Barabara ya Kongowe - Forest ( Ofisi za Wakala wa Huduma za Misitu Taifa, Kanda ya Pwani)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani kwa yule anayefahamu sehemu ambayo naweza nikapata wino wa printer aina ya canon pixma ip1900 aniambie, ikiwezekana na bei nataka il nikienda mahal penyewe niwe nimeenda jumla ni kununua tu.
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habaru zenu wana JF. Naitwa denis niko dar es salaam pia nafanyia shughuli zangu jijini dar es salaam. Najihusisha na uwakala wa forodha (customs agency) ama kwa lugha zoefu CLEARING AND...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naomben kujua zinapopatikana ofisi za NEC (National Election C.....) Naomben jaman
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nauza kiwanja changu kilichopo eneo la Ilazo Dodoma, kimepimwa na kina hati miliki na hakina mgogoro wa aina yoyote, kipo sehemu nzuri Sana huduma za maji na umeme zimefika mita zisizozidi kumi...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Back
Top Bottom