Nahitaji Mchoro wa Servant Quarter

Nahitaji Mchoro wa Servant Quarter

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Nina Plot/Kiwanja chenye Sqmt-647.

Nahitaji Mchoro wa Servant Quarter.

Kijumba chenyewe kitatumika kwa Shughuli za Kiofisi kwani nataka niweke hapo Site ya Tofali na Hardware kabla ya kuja kujenga hapo Nyumba au Frems Baadae.

Specs:
-Verandah
-Sitting Room
-Master Moja
-Jiko & Kajistoo Kadogo sana & (Jiko Liwe na Kibaraza Cha Nyuma)
-Toilet ya Nje kwa Nyuma ya hiki kijumba.
-Stand ya Water tank(Tower ya Nguzo za Zege) yenye Uwezo wa Kubeba Tanks 2 za 5,000ltrs

LOCATION: Site Ipo Kwenye Mradi wa Viwanja/Pembeni/Ndani ya Nyumba za PSPF Ilala-Buyuni(CHANIKA)

NB: Ibakie sehem ya Kuja kujenga Nyumba baadae ntakapositisha Biashara ya Tofali.

GHARAMA: Isizidi 60,000/-

Contact: Send Me PM Please.
 
contact us to help you with your next project
number 0654003555 price to low late see how far we can go
 
Nina Kiwanja chenye Sqmt-647.

Nahitaji Mchoro wa servant Quarter.

Kijumba chenyewe kitatumika kwa Shughuli za Kiofisi kwani nataka niweke hapo Site ya Tofali na Hardware kabla ya kuja kujenga hapo Nyumba au Frems.

Specs:
-Verandah
-Sitting Room
-Master Moja
-Jiko & Kajistoo Kadogo sana & (Liwe na Kibarazani Cha Nyuma)
-Toilet ya Nje kwa NyumA ya hiki kijumba.
-Stand ya Water tank(Tower ya Nguzo za Zege) yenye Uwezo wa Kubeba Tanks 2 za 5,000ltrs

NB: Ibakie sehem ya Kuja kujenga Nyumba baadae ntakapositisha Biashara ya Tofali.

Gharama: Isizidi 60,000/-

Contact: Send Me PM Please.

Kwa shughuri zote za plumbing( maji taka na safi) na water well drilling unaweza kututafuta. bei zetu ni nafuu.

contact:
youtube/evigtinvestment
twitter/evigtinvestment

0777 906732
0789 291116
 
Back
Top Bottom