Wakuuu habari zenu,
Nina shida ya kununua pikipiki aina ya Toyo au Shaneray kubwa/ndefu kwa ajili ya matumizi ya shamba.Naomba mwenye nayo tuwasiliane.
Nawasilisha
Bei 20M
Kiwanja kina hati kwa jina langu
Barabara iko planned kuwa mbele tu ya nyumba
Mazingira ni mazuri,kiupepoupepo
Eneo linatosha kujenga nyumba, parking na kibustani
Serious buyers only...
Shuka 1 kubwa size 8*8 cotton na foronya 2 kwa tsh 20,000 tu
Jumla 18000 kuanzia pics 5
Ukitaka pair ni shuka 2 foronya 4 kwa tsh 38000 tu
Tunapatikana sinza mgabe
Tufollow instagram...
Habarini wadau...
Ninauza tableti ya Samsung Toleo la pili, ukubwa wa inchi 7.... Bei ni 390,000/=
Sababu.... Ninazo mbili. Namaanisha nimepata tablet nyingine hivyo hii ndio naiuza
Note...
Wakuu,
Msaada unatakiwa hapa nimechimba kisima, lakini maji hayafai kwa matumizi yoyote sababu yana chumvi sana. Sasa nime google Mashine ya kutoa chumvi nikaona zinapatikana nje ya nchi.
Je...
Ndugu zangu nauza mlango ya frame na kikabati cha ku display bidhaa bei ya mlango ni sh laki tano maelewano yapo kikabati ni laki mbili na nusu vyote vipo ktk hali nzuri. Samahani kesho nitaweka...
Wanajamvi natafuta chumba cha kupanga maeneo ya kinondoni kuanzia mkwajuni mpaka manyanya cha elf40 mpaka elf 50.. Anayejua anijuze.
"Usilolijua ni usiku wa giza"
Toka zamani napenda Gari za Land Rover, nna mpango wa kununua usafiri wa offroading.Lakini kabla sijaingia mkenge naimani naweza kupata elimu hapa JF. Vp kuhusu range rover 4.6 hse, any common...
Uwanja unauzwa upo Kigambon Beach karibia na ujenzi wa NSSF ambao unajengwa na waturuki ni m square 4443 bei mil 55 na maongezi yapo.
Kwa mawasiliano nicheck hapa 0768359292
Gari aina Hilux pick up engine 3L single cabine naiuza kwa bei nzuri tatizo lake ni kukausha maji haraka kwenye rejeta tu na inatumia dizeli.
Kwa mawasiliano 0787594060
Hii Ndude/Gadget(1TB) iko na 30TV-Series na Zaidi ya 300 Latest Movies.
Ni Mpya-pyaaaaaaaa.
Ina Reserve ya 55GB
Bei Tsh= 195,000/-
Bring an Endless Entertainment in your LivingRoom.
Nyumbe iwe ina vyumba vitatu vya kulala, sitting room, jiko na choo ndani.
Tiles na madirisha.
Luku ya peke yake na maji ndani.
Isiwe mbali na barabara.
Namba yangu: 0785 872 256
Ina CPU mbili za xeon 2.0ghz kila moja
Ram :2gb
Hdd:250gb
Graphic:ina quadro fx 3700 but naweza kukuwekea mpaka 2gg graph depend na pesa yako
Drive:dvd wirtter
Ipo fresh kwa yule anayetaka...