Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Shamba linauzwa lipo chanika mwanzo mgumu dsm lina ukubwa wa ekari nne pia linaweza kutumika kwa makazi bei ni tsh 13ooooo kwa kila eka pungufu ya hapo utaongea kwa mawasiliano 0714621548...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kiwe goba jirani na makongo, so kwa mwenye nacho au dalali anicheki through PM
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Habari wanajamvi, nauza BlackBerry z10 yangu. features 2g ram 16 gb internal storage 8mp camera. unique keyboard (it can learn fast when you type ) black in mint condition. can run both bb world...
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Used samsung galaxy s3 inauzwa 270,000.. Tatizo moja lipo la cover ya ñyuma limevunjika lakini everything is ok.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Uuzwaji wa shamba eneo la ufukweni (beach area) NUNGE BAGAMOYO karibu na PALM TREE HOTEL Eneo lenye ukubwa wa hekari 7.85.. Bei ni 1.7B Na maongezo yapo.. +255 713799522
1 Reactions
0 Replies
887 Views
Habari zenu wanajukwaa... Nami ni mjasiriamali mwenzenu ninayefanya biashara mbalimbali hapa nchini kama vile agribusinesses,pia networking business pamoja na agricultural ila mnamo MWAKA jana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
GARI/BODI HILI LA NISSAN PATROL OLD MODEL..SHORT CHASIS; BODI LA NISSAN PATROL SHORT CHASIS..OLD MODEL- BADO ZIMA KABISA IMEWEKWA INJINI YA 3Y (YA KWENYE HIACE na GEARBOX YAKE...HAIJATUMIKA...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kuna eneo la hekari nne lipo Mchikichini jirani na mwembe mdogo njia ya kwenda Kimbiji. Ni kilometer kama 17 kutokea kigamboni na kilometer kama 1.5 kutoka katika magorofa yanayojengwa na NSSF...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nauza grand duos 250,000 nichek kwa 0716385824
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Nauza 5 mil kama unahitaji nichek 0716385824
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Wakuu godoro jipya kabisa naliuza nililinunua miezi michache iliopita Halijawahi kutumika lipo kwenye nailo yake Ni la futi 6 kwa 4 Bei 60000/=(chapa QFL Dodoma)
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nahitaji moja kati ya hizo simu nipo morogoro. budget 100,000/-
0 Reactions
3 Replies
989 Views
used a week kwa 150000 tu nichek 0714547830
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Mi ni mtumishi niko mikoani nahitaji gar aina RAV4. Ninamaanisha jamani mwanaJF. Aliyenayo au mwenye taarifa anijuze tufanye biashara. Make isiwe chini ya 2005.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa mwenye uhitaji wa haraka wa line za tigopesa na m-pesa kwa bei nafuu, anitafute kwa namba 0756967894. Ukinunua zote ni laki 6 ila ukihitaji line ya mpesa ni laki 2 na ya tigopesa laki 5.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kinapangishwa, Kodi Laki1/Mwezi. Muda wa Pango: Miezi 6 📞📱0752953860
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza simu tajwa hapo juu...iko ktk hali nzur kabisa...naiuz kwa 650000 ila bei inashuka pia...napatikana dsm kwa namba 0764503076. ATTACH]248918[/ATTACH]
0 Reactions
3 Replies
891 Views
Ndugu zangu wana JF, lile gari escudo, milango mitatu bado linauzwa na mwaka huu bei imezidi kushuka (kwani itabidi ulipie road permit ya miaka miwili (post). Bei sasa ni Tshs milioni 2 na nusu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wasalaam wakuu, Nahitaji tairi ya gari size 14 na sports rim zake. In exchange nimpe muuzaji zangu nne za size 13 zikiwa na wheel caps niongeze na pesa kidogo.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
used 1week,drop crack line... starting 300k ..negotiable
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…