Godoro jipya linauzwa

Godoro jipya linauzwa

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,205
Reaction score
27,012
Wakuu godoro jipya kabisa naliuza nililinunua miezi michache iliopita

Halijawahi kutumika lipo kwenye nailo yake

Ni la futi 6 kwa 4

Bei 60000/=(chapa QFL Dodoma)
 
Mwenye kuhitaji tufanye biashara hiyo bado lipo
 
Hapo ulipo hakuna kijana aliyekuwa anakusaidia saidia shughuli au kumtuma tuma umpe ?Ha ha ha jamani si ugawe tu lol hata godoro mitumba
 
Hapo ulipo hakuna kijana aliyekuwa anakusaidia saidia shughuli au kumtuma tuma umpe ?Ha ha ha jamani si ugawe tu lol hata godoro mitumba

Hhhhaaa huwezi jua ana shidaa na pesa,au angesafiri nalo akawapelekea ndugu zakee
 
Wakuu nahama mkoa na naenda mbali sana pembezoni mwa nchi huko siwezi kusafiri nalo lipo stoo tu
 
Tatizo godoro lako lina kunguni ndy maana hatununui😀😀

Tumia lugha nzuri kijana sipo hapa ki utani utani soma vizuri nilichaandika then ndo u-comment.Nimeeleza hali ya godoro(jipya kabisa hata kwenye chaga halijawahi kukaa) na sababu za kuliuza sasa sielewi mambo ya kunguni umetoa wapi .

Jifunze kuwa mstaarabu kijana halafu mi sio chaliiii

Over and out!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: amu

Kaka msamehe tu huyo dogo. Balehe mbichi inamsumbua.
 
Mkuu biashara za humu ni kichefu chefu ni bora uwendee fesbuku ndo safi lakini samahani mkuu
Bei 60000/=(chapa QFL Dodoma)[/QUOTE]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom