Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

UHURU COMPUTERS Established June 2007 in Northampton UK. We Import Directly from U.S.A, UK and Japan. Dell Registered Resellers from July 2010 in Tanzania. All new Laptops Have 1 year...
6 Reactions
141 Replies
42K Views
kuna jamaa yangu ananisumbua anataka kununua gari ya kulipia kidogokidogo kwa hapa mwanza ni sehemu gani wanatoa huduma kama hii nimechoka kumdanganya
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mambo vp wadau. Kwa yeyote mwenye mchongo wa fb page inayouzwa yenye kuanzia LIKES Elfu 90 na kuendelea tuwasiliane. Naihitaji sana. 0682202996,0784531312
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Habari wakuu, Kwa anaeuza gari aina ni NISSAN MURANO iwe katika hali nzuri. Tuwasiliane 0769033641 nipo Dar
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Fremu ina pangishwa Sinza Lion kituoni mpaji aliopo ana uza na meter yake,ac na vitu vingine pia kodi inaisha mwezi wa saba.Kodi ni laki na thelathini kwa mwezi. Nicheki hapa 0714547830
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Kipo mwanchi kabla ya shule ya alliance,kipo kwenye kona ya barabara ukubwa ndio huo 60x48 bei ml 100 maelewano yapo Panafaa kwa hotel
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Iwe katika hali yakuridhisha
0 Reactions
5 Replies
907 Views
JAMANI WANANCHI NATAFUTA NYUMBA YA KUPANGA MAENEO YA KARIBU NA MWENGE AU GARI MOJA KUFIKA MWENGE NAOMBA MSAADA NIKIPATA NAMBA kYA MWENYE NYUMBA NITAFURAI NYUMBA IWE NZURI Iwe self contained na...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
suluhisho la kupunguza uzito limepatikana jipatie sasa teabags na vdonge vilivyotengenezwa na mitishamba. pia kwa wale wenye matatzo yakupungua nguvu za kiume suluhisho lipo
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Habari wakuu.kuna nyumba inauzwa arusha ipo stand karibu na joshmal hotel.ina vyumba 8 kwa nyuma na ina frame 7 za maduka.bei ni 1bil 200mil.ni PM.kama upo interested Au unamjua mtu anaye hitaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kichwa cha habari kimeshajitosheleza na ni kwamba kama wewe unatarajia kuwa mgombea urais au ubunge kwa kupitia chama chochote kile ktk chaguzi zijazo za october 2015 na hujui utaanzia wapi basi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habari watu wote humu napenda kuomba kama kuna mtu ana uza ama kujua mtu anaye uza gari aina ya spacia new modeli ambayo isha tumika/yamkononi anijulishe kupitia no 0767353440 nipo moshiii
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Utapata ramani za design mbali mbali kwa kupiga namba 0713532322 niko Dar. na hizi ni baadhi ya kazi zangu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Piga 0672201901 https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=251344&stc=1&d=1431491964
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nyumba yenye vyumba 3, sebule kubwa na sehemu ya kulia chakula. Parking kubwa. pia ina fensi ya ukuta. Nyumba ipo Basihaya, Boko, Dar. Tuwasiliane kupitia 0654715457 kwa picha na maelekezo zaidi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KGE & MGE inawakaribisha wajasiliamali wote wafugao /wanao tarajia kufuga kuku ,kuwa tuna unda na kuuza mashine za kuangulia vifaranga vya kuku kwa gharama nafuu sana.mashine zetu huweza kumfikia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mileage 140,000 km inauzwa bei ni 5.2 mil. Only haina tatizo lolote. Serious buyers check me on whatsapp 0658221191
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nauza mikanda ya kupunguza tumbo.ndan ya wiki moja tumbo linaisha kama ukiwa serious.MKANDA MWEUS NAUZA ELFU 40 NA MWEUPE ELFU 30.NALETA ULIPO.NAPATIKANA KWA NAMBA 0712620078
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kiwanja kinauzwa Iringa Mjini. >Kipo Mawelewele Iringa mjini. >Kina ukubwa Wa 26.6m * 42m = sqm 1117.2 >Huduma za jamii zipo jirani (maji na umeme). >Hakijapimwa ila barabara za mitaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…