sajosojo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 1,025
- 641
Utapata ramani za design mbali mbali kwa kupiga namba 0713532322 niko Dar. na hizi ni baadhi ya kazi zangu
Utapata ramani za design mbali mbali kwa kupiga namba 0713532322 niko Dar. na hizi ni baadhi ya kazi zangu
Weka bei ya kila ramani, idadi ya vyumba na sifa zingine kama kuna kitchen store, corridors na idadi ya vyoo ili tujipime. Hapo ni kama unauza picha kimachinga.
Sisi tulio mbali na Dar inakuwaje?