Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kozi Ya Stashahada Ya Ualimu Elimu Ya Msingi TANGAZO: KUANZISHWA KWA FANI YA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA MSINGI Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa - SEKOMU (zamani...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habar zen wana jf natafuta tecno m3 ambaye anayo anichek kwa bei ya 55,000 {hamsin na tano elf} tecno m3 ile fupi yenye rangi kama ila yenyewe xo nyeus kama mt anayo anichek
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni simu mpya ya kisasa ambayo ina power bank ndani na inaweza kucharge simu nyingine kwa wakati huo huo. Betri yake inaweza kukaa na charge siku 13 Bei yake ni shilingi 55000 Warranty yake...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Hyo simu tajwa apo juu inahitajika original iliyokuwa kwnye hali nzuri..bei ni laki.3 na 50...npo nyegezi mwanza,whatsapp 0717420211
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Backyard poultry, ni washirika wa wajasiriamali hasa wafugaji katika uzalishaji na uuzaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji pamoja na chotara kwa gharama nafuu. Vifaranga wetu wa siku moja...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tunauza power bank za laptop kwa shilingi laki mbili na ishirini tu. Karibuni sana. Nicheki PM au nitumie email: tonyhaule@hotmail.com
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jamii Forum Sisi ni mafundi wa kutengeza vitanda vya chuma,grill za fance,gate la fance na mageti ya nyumba. Pia tunatengeneza vitanda vya chuma double deck pamoja na single,pia...
1 Reactions
23 Replies
32K Views
20800 mAh kwa 40000 only
0 Reactions
4 Replies
941 Views
mwenye iphone 5s used in mint condition nichek hapa ASAP
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Meza ya ya kusomea inatafutwa wadau ... Kwa tsh 40000/= nicheki pm kwa mawasiliano
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina iphone 4s nataka kuvunja na iphone 5s naongeza ela kidogo nichek 0714547830 au 0652871546 kama unayo
1 Reactions
4 Replies
964 Views
Simu tajwa apo juu inauzwa ni mpya na accersor zake kwa 580K ... Chek me #0718033066
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza simu tajwa hapo juu iko katika hali nzuri imetumika miezi mitatu tu bei ni laki2. Ukihitaji nicheki 0654160092
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kama unahitaji nyumba za kupanga Mwenge mitaa ya TRA, mlalakua mpaka kijitonyama Zipo bei Zinatofautiana kulingana na nyumba husika, pia Kwa wale wanaohitaji chumba kimoja au chumba na sebule vipo...
0 Reactions
72 Replies
14K Views
Insignia (Coral Paints) waanzilishi rangi rafiki wa mazingira nchini Tanzania Kuchagua rangi rafiki kwa mazingira wakati wa upambaji hakufanyi tu hewa ya ndani kuwa safi lakini pia hutunza...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mwenye charger hyo anichek tufanye biashara 0712402951
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Napatikana Dodoma, unaweza kupata trey 50 kwa wiki, bei ni 8000/= mayai ni ya kienyeji kama tittle inavyojieleza hapo juu. Kama unahitaji tuwasiliane kupitia simu namba +255716863406. Wote...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nawaletea kwenu kitabu cha "Asemavyo Zitto" kilichokuwa inspired na Mahojiano yaliyofanyika hapa JamiiForums (Mahojiano ya Moja kwa Moja na Mhe. Zitto Zuberi Kabwe) yaliyofanyika...
3 Reactions
34 Replies
51K Views
Habari wana Jf Kwa wale wapenzi wa smartphone na simu nyingine zote tukutane apa tuweze fanya biashara kwa wenye simu mbali mbali tuweze kuuza na kununua simu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau Kuelekea kuchukua Jimbo moja mwezi Oktoba, nauza GARI langu Canter Tone Tatu Box Body pichani kwa bei nafuu sana. Lina mwezi mmoja tangu liwasili kutoka Japan. Lipo Dar es Salaam. Pia...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…