EWE MWANAMKE FURAHIA NDOA YAKO KWA KUTUMIA SOY ISOFLAVINE
Hiki ni kirutubisho kilichotengenezwa kwa maharage ya soya na njerege.Isoflavine ambayo ni mahususi kwa vichocheo vya kike Kama...
Nauza Sumsang korean note shv e160s international version ambayo ni sawa na ni 7000 tofauti ni kuwa hii ni nzito.
Sababu ya dogo kukosa ada nauza kwa bei chee kama unavyoona. First come first...
Habari wana JF,
Nina gari aina ya Toyota Altezza yenye specifications zifuatazo;
Make: Toyota
Model: Altezza
YoM: 2002
Engine capacity: 1990
Body type: Saloon
Seating capacity: 5 passengers
No of...
Wanajamvi,
Nina budget ya shilingi mil 8 natafuta gari lililo katika hali nzuri, liwe na 4WD imara. Kwanza nilifikiria RAV 4 au SUZUKI ESCUDO.
Naombeni ushauri
Simu aina ya prestigio multiphone 5504 duo ionauzwa,simu hii ni almost mpya imetumika siku 6 tu,simu hii ni aina ya kiitaliano details zake ni kama zifuatazo,mwenye kuiihitaji apige simu na...
habari wadau.
chumba kimoja kinapangishwa ubungo external.. near mabibo hostel. kuanzia tarehe 1/7/2015,,,
kipo ndani ya fence na kuna geti, kuna umeme na maji dawasco.
na maji ya kisima...
Habari wana JF,
Ninauza gari yangu Toyota mark II
mwaka 2003
Namba T 738 CLQ
KM 101000
Gari ipo katika hali nzuri sana nimeagiza mwenyewe toka japan kwajili ya shughuli zangu na sasa...
Kama kichwa cha thread kinavyosema, naomba mtu anisaidie vigezo ambavyo TRA wanatumia kukata ushuru kwa bidhaa zinazotoka nje ya nchi na kuingia kupitia posta. Especially kwa wale mnaofanya...
Kozi Ya Stashahada Ya Ualimu Elimu Ya Msingi
TANGAZO:
KUANZISHWA KWA FANI YA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA MSINGI
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa -
SEKOMU (zamani...
Habar zen wana jf natafuta tecno m3 ambaye anayo anichek kwa bei ya 55,000 {hamsin na tano elf} tecno m3 ile fupi yenye rangi kama ila yenyewe xo nyeus kama mt anayo anichek
Ni simu mpya ya kisasa ambayo ina power bank ndani na inaweza kucharge simu nyingine kwa wakati huo huo.
Betri yake inaweza kukaa na charge siku 13
Bei yake ni shilingi 55000
Warranty yake...
Backyard poultry, ni washirika wa wajasiriamali hasa wafugaji katika uzalishaji na uuzaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji pamoja na chotara kwa gharama nafuu.
Vifaranga wetu wa siku moja...
Habari zenu wana Jamii Forum
Sisi ni mafundi wa kutengeza vitanda vya chuma,grill za fance,gate la fance na mageti ya nyumba. Pia tunatengeneza vitanda vya chuma double deck pamoja na single,pia...