Ipo ktk halinzur hasa kimuonekano hadi kiufanisi wa kazi,
Internal memory 4GB
front camera & back camera bila kusahau flash light. Pia Unapata na chaj yake pa1 na cover.
ONYO
=====
INATATIZO...
Samahani wanajf wenzangu mm nimejiunga na internet banking crdb na tayari inafanya kazi.... lakini nikijaribu kulink credit card yangu na paypal inanigomea... samahani kama kuna mtu ana ujuzi na...
Kwa anayeuza, kununua, kuweka security ya KIWANJA katika mkopo, nafanya TRANSFER OF TITLE, MORTGAGING kwa bei NAFUU kabisa, kuanzia laki nne.
Kwa anayehitaji ani PM
Au...0715820855
Vietel ni mtandao mpya wa Simu kutoka Vietnam ambao unatarajia kuzindua Huduma zake Septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.
Vietel ni...
Habari zenu wakuu
Viwanja vinauzwa maeneo mbalimbali kama Toangoma, Muembe mtengu, Geza ulole, maeneo yote yapo karibu na Kigamboni na yapo yaliyopimwa (yenye hati) na yasiyo pimwa. Bei...
Habar wakuu, viwanja vinauzwa Ifakara maeneo ya kibaoni vyenye ukubwa wa high density vipo karibu na Mbega resort. Mwenye kuhitaji wasiliana kwa namba 0715495215
habari,je unataka kuwa cartoon? Kutoka kwenye picha yako yoyote uipendayo? Usijali ni kaz rahs nione nikutengenezee cartoon inayowiana kabisa na wewe,angalia picha zifuatazo kuona baadhi ya kaz...
habari wana JF, mimi ni mwanafunzi wa chuo cha uuguzi na ukunga (nursing and midwife) ngazi ya cheti (enrolled nurse) kilichopo mwanza ila natarajia kuhitimu masomo mwezi wa nane mwaka huu...