Apartment inapangishwa Ostabey B Kinondoni

Apartment inapangishwa Ostabey B Kinondoni

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Ipo mtaa wa pili toka barabara ya Ali Hassani mwinyi inatazamana na uwanja wa Leaders Club , ina vyumba 2 vya kulala setting room , jiko store n.k, ina ziada ya tank ya kuhifadhi maji lita 5,000 generator n.k bei ni 750,000/= kwa mwezi kodi inachukuliwa kuanzia miezi 6 na kuendelea.

Tuwasiliane 06571455555
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom