Osaba
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,943
- 808
Umeonaeee!Osaba katika mishemishe zake.
Mie napenda unakuwa mkweli kwenye Biashara zako aisee,maana wengine wanakupiga changa la macho bila kukuambia tatizo lake.
Naona umekutana na shanta mwenzio Frank jp.hahaha nyie washkaji anzisheni kampuni,maana hata huyo frank jp ni mzee wa kununua na kuuza bei kubwa,sasa mkiungana mnaweza mkawa na bonge la kolabo.
Osaba katika mishemishe zake.

Gari aina ya Mazda Bongo inauzwa Tshs 3.m, for more details just call 0713234224