Shamba linauzwa Segera

Shamba linauzwa Segera

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
4,499
Reaction score
6,898
Shamba lenye ukubwa wa ekari 50, linauzwa segera (makutano ya barabara za dar-moshi-tanga) kwa bei ya shilingi laki 4.5 kwa ekari, kati ya hizo 20 ekari zimeshapandwa michungwa na 30 ekari hazijapandwa kitu.

karibuni pm kwa wateja seroius
 
Segera kwa wapi ,vipi umbali toka barabara kuu ni km ngapi ?
 
Ukifika njia panda kama unatoka dar kuelekea arusha ni pale ukivuka daraja yaan kijiji cha kwanza kama unaenda korogwe, pia kutoka main road hadi shamba ni km 2 ambapo kuna barabara magari yanapita mwaka mzima, ni pazur sana unaweza kuanzisha hata ranch
 
Sawa mkuu ,weka namba ya simu sasa
 
vipi mbona nimeomba namba ya simu umeingia mitini ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom