Natafuta Mashine inayotumika kupima afya

Natafuta Mashine inayotumika kupima afya

TEK

Senior Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
184
Reaction score
37
Maada hapo juu yahusika,

Naomba anayejua mahali wanapouza mashine hizo na gharama zake.

Nawashukuru watu wa MUNGU maana humu hakuna lisilokuwa na majibu.
 
njoo kituoni kwetu ETERNAL tupo kawe tanesco unashuka chama vuka barabara ingia barabara ya zege tuko upande wa kushoto kuna bendera za blue ndo hapohapo umefika utaona kituo chetu tunapima afya kwa watu wote karibu sana
Maada hapo juu yahusika,

Naomba anayejua mahali wanapouza mashine hizo na gharama zake.

Nawashukuru watu wa MUNGU maana humu hakuna lisilokuwa na majibu.
 
Maada hapo juu yahusika,

Naomba anayejua mahali wanapouza mashine hizo na gharama zake.

Nawashukuru watu wa MUNGU maana humu hakuna lisilokuwa na majibu.

Mashine za kupima zipo nyingi sana. Au wamaanisha zile za kisanii za mtu kushika kwa mkono kisha zatoa majibu za matatizo yako yote?
 
Huyu anamaana zile mashine za matapeli,za kushika mkono,mara unaambiwa nguvu za kiume zinapungua,mara moyo umeota manyoya,mara kesho saa sita utajamba.

Matapeli wengi sasa mjini wanatumia zile,na hata hivyo lazima kuwa na kibali maalum,hazinunuliwi kirahisi zile.
 
Back
Top Bottom