Clemford
Member
- Nov 26, 2011
- 63
- 91
Wadau nina gari ya 2001 Volvo S60. Juzi kati ilipata hitilafu kwenye cooling System yake baada ya kuwa na leakage kwenye rejeta. Aliyokuwa anaendesha pia hakusoma alert ya temperature gauge sasa imeharibu piston. Anayeweza kunisaidia kupata piston set na vifaa vingine naomba anipm then tutawasoliana zaidi. Nawasilisha