Nyumba ya vyumba3, Masterbedroom1, Sebule, Jiko, Choo cha kushea ndani, Sehemu ya Chakula, Eneo la maegesho na uzio.
Pia ina nyumba ndogo nyuma ya chumba Choo.
Bei 900,000/month, Kodi ya Mwaka...
Bar yako ya dagaa dagaa lounge ya Sinza legho inakuandalia ofa tamu ambapo mteja akinunua bia mbili za castle light atapewa bonus ya bia nne za castle pamoja na kuku choma.
bonus hii itakua ni...
habari wadau.
attention wagombea wote ubunge, udiwani, etc..
na print t shirt za uchaguzi kwa bei nzuri sana ( win win situation) kutegemeana na artwork yako..
t shirt za round zinaanzia...
Habarini wakuu,
Asali mbichi ya nyuki wadogo sasa ni kwa Tshs 190,000/= tu kwa kila dumu la lita 20, na asali ya nyuki wakubwa kwa Tshs 130,000/= Tu.
Bei hizo ni hadi kuletewa mzigo popote pale...
Habari.Nyumba yenye vyumba vitatu choo na siting room inapangishwa. Nyumba iko Arusha Sakina White rose. Bei ni 250,000/ kwa mwezi. Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hii 0763 65 13 41...
Hello,
Natafuta sehemu/kiwanja cha kununua ili nijenge fremu kadhaa kwa ajili ya kukodisha.
Eneo liwe limechangamka,au linaelekea kuchangamka kwa kuwa na watu.
Priority ni Dar, Dodoma, Mwanza...
habari kaz wadau. naomba msaada kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kupata materials za kutengenezea screen printing hapa tz. kama kitambaa cha MESHI,SENSTIZER, PROPHOTO/DAWA YA PROFOTO NK. Naomba...
Huawei y300 iko vzur kama unavyo onekana picha. Bei tsh 90,000 top
Kwamaelezo zaidi na sifa zake ingia hapo => Huawei Ascend Y300 - Full phone specifications
Simu ya pili ni Tecno L3 ipo vzur...
Samsung galaxy s3 new model (zipo 2) zinauzwa moja ina ufa ila haujioneshi na inafanya kazi vizuri tu bila shida na nyingine ipo vizuri kabisa. Specification ni kama ifuatavyo:
Internal storage...
Jipatie pikipiki aina ya SANLG ikiwa na muonekano mzuri kbs,imetumika miezi7 haidaiwi kwa bei ya tsh1.5 mil nipo mwanza.haijachomwa wala haina michubuko
RUAHA GUIDING FIELD CENTRE AND TOURS SAFARIS>>>>>>we offer a unique and standard field with enough bush skills as our main goal is to produce a satisfied guides who can be marketable in tourism...
An almost new fully furnished four bed room house (one master bed room), store, kitchen, spacious sitting room and a common toilet and bathroom is available for rent at Gangilonga prime area in...
Toangoma- kigamboni
1. Block 2, 1339 square meter, bei milioni 50, ila maelewano yapo kina hati miliki
2. Block 1, 700 square meter, bei milioni 40, ila maelewano yapo-kina hati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.