return of cs
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 130
- 24
Jipatie pikipiki aina ya SANLG ikiwa na muonekano mzuri kbs,imetumika miezi7 haidaiwi kwa bei ya tsh1.5 mil nipo mwanza.haijachomwa wala haina michubuko
In used lakn inategemea ilikua inatumika vipi,hii ilikua ni kwa mizunguko binafsi siyo boda bodaKwa bei hiyo, hutopata mtu, maana dukani unapata kwa 2millin, full bima. Sasa wewe imetumika miezi saba, ni mingi sana. Kwa bei ambayo mtu unaweza kumuuzia ni 1miliion.