husika na kichwa cha habari hapo juu,,kwa wale ndugu zangu ambao hawafaidi tendo la ndoa kwa kuwahi kufika kituoni mapema,sasa wanaweza kufurahia tendo kwa kutumia dawa tajwa hapo juu kwa bei ya...
Ni HP Compaq nc 8230,ime'corrupt hard disk tu.
Ram 1GB.
Processor 2.0 GHz
Battery life: 2:30 - 3:00 hours(inategemea na matumizi.
Ni 150k.
Nakupa uhakika kuwa haina tatizo jingine ni hili...
Wapendwa
Kuna mtu aliniletea Galaxy note 3 mpya (Haina contacts wala setting zozote) anataka kuniuzia.
Nilimuhoji kuhusu uhalali wake kwa kuwa ni mtu nisiye mfaham
Kanijulisha kuwa kaka yake...
Habari wadau.
Naomba kujuzwa,foreign used Toyota Platz apa Dsm naweza kupata kwa bei gani.
Je kuna zenye 4WD?
Nahitaji kwa ajili ya apa na pale za apa mjini.
Nasubiri maoni yenu, maana hapa...
Habari Zenu wapendwa,
Kama una biashara binafsi , kampuni ...au ni wewe ni professional kwenye eneo lolote mfano engineering, marketing, medicine etc.
Karibu Olcomlabs ..Tutakufanyia yafuatayo...
Kuna nyumba inapangishwa ipo maeneo ya ipagala emaus ya pili ina sitting room, dinning room, jiko na vyumba vinne vya kulala, vitatu n vya kawaida na kimoja n master . Bei yake ni tsh. 250000/=...
Viwanja viko kibamba shule ukubwa kuanzia Mita 20*20 bei 4.5milion bei inaongezeka Kulingana na ukubwa, vyote vinafikika kwa barabara, huduma Za umeme na maji zinapatikana.
Kwa taarifa zaidi...
Kabati bado lipo vizuri kabisa kama linavyoonekana pichani.
Bei ni 230,000 laki mbili na thelathini pungufu unaongea na naamini tutaelewana.
nipo Dar
0715553166