Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,051
Kula 45,000 unipe na wino wa spea!Nauza printer tajwa hapo juu,
Wadau nimeletewa tu hata bei yake sijui mpyaaaa toka UK
Ina print
Scan
Copy
Weka ofa yako
muuzaji mbona kimya
Dah hizi bei zenu zinanitisha bora nitumie mwenyewe
taja bei yako watu wajue wataweza?
Weka no ya simu basi.