Masika JF-Expert Member Joined Sep 18, 2009 Posts 723 Reaction score 30 Sep 15, 2015 #1 Habari wadau. Naomba kujuzwa,foreign used Toyota Platz apa Dsm naweza kupata kwa bei gani. Je kuna zenye 4WD? Nahitaji kwa ajili ya apa na pale za apa mjini. Nasubiri maoni yenu, maana hapa ndo Kisiwani
Habari wadau. Naomba kujuzwa,foreign used Toyota Platz apa Dsm naweza kupata kwa bei gani. Je kuna zenye 4WD? Nahitaji kwa ajili ya apa na pale za apa mjini. Nasubiri maoni yenu, maana hapa ndo Kisiwani