FAIDA ZA KUVAA T-SHIRT ZA BIASHARA YAKO
Kuifanya biashara kuwa nadhifu na ya kisasa
Kuitangaza biashara yako
Kuondoa uwezekano wa mteja Kuhudumiwa na mtu asiyehusika
Kuondoa uwezekano wa...
Eneo linauzwa lipo Tegeta "A" Goba mpakani mtaa wa Mlimani City
Dakika 2 tuu kutoka barabara kuu ya Mtaa ambayo itawekwa lami hivi karibuni.
Kutoka site mpaka Goba Center ni mwendo wa dakika...
Chama cha mapinduzi kimejengwa katika misingi ya Utu na Uzalendo,toka kuasisiwa kwake. Look
Dunia ya sasa, Geopolitics na mienendo ya dunia inahitaji kila taifa kujiimarisha haswa ktk uchumi,siasa...
Habali ndugu zangu,
Nafanya biashara ya maharage ya mbeya kuleta Moro na Dar. Kwa wateja wa madukani kwa bei ya makubaliano na aina ya maharage husika.
Kama unaitaji maharage na upo maeneo...
Wana Bodi za jioni,
Nina biashara ya steshenari huko pande za mikoani! Jana nilikua Kariakoo kufunga mzigo! Lakini lile duka ambalo nilikua nanunulia mzigo nilikua nashuhudia muuzaji akiwatuma...
Kiwanja kinauzwa Makongo CCM
Kilomita moja kutoka Makongo Road
Kiwanja kina njia pande mbili/Conner Plot
Kiwanja kipo juu tambarare
Kiwanja kina SQM 1500+
Kiwanja kinauzwa Milioni 210 tu(maongezi...
Kwa nini utuchague sisi kwa ajili ya kutoa huduma kwako?
i) Kampuni yetu imesajiliwa katika mamlaka za Serikali kama vile BRELA, TRA na Manispaa/Halmashauri husika, hivyo tunatoa huduma bora kwa...
Habari wakuu , dispensary iliyo na usajiri wa wizara ya afya na iliyopo Arusha mjini ,bei ni 150 millioni, inaitwa MT.MERU....inauzwa .
Kwa MAELEZO zaidi wasiliana nami Dalali Lexus SUV...
Wakuu, kama kichwa cha habari
Specifications
Processor: Intel (R) Core i5 -5200U. CPU @2.20GHz 2.19GHz
Storage :500gb
Ram :4gb
Imetumika miezi 4
Bei: Tsh 350,000
Ipo Dar es salaam Temeke...
Je, unahitaji mfumo wa kisasa wa kusimamia biashara yako? Invoice management System inakupa uwezo wa kutengeneza na kusimamia Invoice, Proforma, na Delivery Notes kwa urahisi. Mfumo huu...
Habari za muda huu...
Viwanja vinauzwa..
📍 Vipo goba kantina (Makongo road)
⌚ Dakika mbili kutoka Goba center 🔥
⌚ Dakika 15 kutoka Mlimani city 🔥
🛣️ Mita 30 tuu kutoka barabara ya lami
🏟️...
Utasa ni hali ya wenza wawili wanapokutana kimwili kwa zaidi ya mwaka mmoja bila kushika ujauzito kwa mwanamke
Leo ningependa niongelee utasa kwa mwanamke
Mwanamke katika jamii nyingi ndio...
1. Kitabu kina topics zote Form 1 hadi 4
2. 29 Chapters, 505 pages, full colour.
3. Kila subtopic ina maelezo ya kutosha na kueleweka na ina exercise yake.
4. Kila Topic ina revision exercise ya...
Habari za wakati huu...
Eneo linauzwa madale mivumoni...
Lipo karibu na shule ya atlas
Eneo limezungukwa na njia kubwa kabisa pande zote nne...
Eneo lipo tambalale kabisa...🔥
Eneo linafaa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.