Nilipost biashara yangu ya Pub humu ambayo ipo kinyerezi mahakamani road inayoitwa Runway Pub.
Hakika muitikio ni mzuri sana tofauti na mitandao mingine kama insta.
Wana JF wengi humu...
Hizi ni Sendo za kiume nzuri, imara na zilizotengenezwa kwa mikono. Hii ni bidhaa ya Kiafrika. nakuuzia kwa Tsh. 15,000 leo.
Piga/WhatsApp: 0683535699, na nitakuletea ukiwa Dar.
Habari wajumbe!
Nahitaji hiyo car diagnosis software, nilijaribu kutafuta moja inayoitwa techstream ila sikufanikiwa kuifanyia installation, hivyo kwa ambaye anaweza kuwa nayo please tell me.
Imepita miaka mingi wilaya ya masasi imegubikwa na mambo ya hovyo hovyo na hayaondoki kila siku hujirudia na utadhani hakuna viongozi wanaopaswa kutatua kero hizo
1. Umeme, sidhani kama kuna...
Makao makuu ya wilaya (District Headquarters) ni kitovu cha kiutawala na kiuchumi kwa maeneo yanayozunguka wilaya.
Maeneo haya mara nyingi yanachochea ukuaji wa uwekezaji kwenye ardhi kutokana...
Tunauza nyama ya Ng'ombe tunatafuta tender za kusapply nyamba bei poa kuanzia 5kg tunakuletea hadi ulipo wasiliana nasi kwa simu namba 0716283599
Hata ukileta mteja utapata posho Tupo sinza...
Habari zenu
Naitwa neema, nina miaka 26 na nimemaliza degree ya Account and Finance, kama mnavyojua kazi changamoto, nimeshatuma cv sehemu nyingi na kufanya interview lakini bado hali ni ngumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.