Biashara ya tshirt na bidhaa za urembo

Biashara ya tshirt na bidhaa za urembo

richenriques

Senior Member
Joined
Jun 6, 2015
Posts
188
Reaction score
33
Wapendwa,

Mimi natengeneza tshrt zenye logo mbalimbali natafta wenye maduka ya nguo na bidhaa za urembo kutoka mikoa tofaut ili nifanye nao kazi.Kwa watakaopenda kufanya biashara na mimi.

Tafadhali PM bidhaa za urembo zinauzwa kwa commission yani atakae kua wakala wangu anapata commission.Ila tshrt ninauza kwa jumla
 
Baadhi ya bidhaa nazouza
 

Attachments

  • 1441912234774.jpg
    1441912234774.jpg
    26.4 KB · Views: 229
  • 1441912270264.jpg
    1441912270264.jpg
    27.5 KB · Views: 208
  • 1441912329107.jpg
    1441912329107.jpg
    82 KB · Views: 211
  • 1441912371944.jpg
    1441912371944.jpg
    28.7 KB · Views: 213
ndomana huwa hawaweki picha sababu wabongo kwa kukosoa hatujambo
 
weka Picha tufnye biz. Mwanza huku ndio mpangomzima
 
Back
Top Bottom