Kwa wale wenye tatizo la mafuta usoni yanayopelekea uso kua na chunusi na madoa meusi.
Nauza bidhaa zisizokua na kemikali zinazomaliza chunusi na kuondoa madoa.
Nichek 0672450496
Laptop inauzwa
ni Asus inchi 13.3
in RAM 4GB
HDD 500GB
Processor Core i3 quadcore
OS win 10 genuine
Ipo kinondoni B/Manyanya, Karibu na Dr. Mvungi Hospital
Bei 700,000 TZS
Punguzo dogo litaolewa...
Ina umri wa miaka 10.hiko mia 900,inafa kwa upasuaji wa mbao,bei yake ni m 4.5 adi 5.hiko iringa,eneo la boma la ng'ombe,kilolo,kwa mawasiliano 0712237599.
Habari wadau,
Kuna jamaa yangu kanituma hapa dsm nimuulizie na finaly nimnunulia boss tv ukubwa wa nchi 50 sasa bei zake zimekuwa hazieleweki kitu ambacho kinafanya nisite kumnunulia nisije...
habari, natafuta htc m8 original internal memory 32 gb used,iwe ktk hali nzuri isiwe na michuboko na ubovu wowote.Budget yngu laki 5.mwenye nayo aweke contacts zake ntamtafuta,sihitaji clone...
Habari wana JF,
Natafuta mtu anaeuza gari ya maji ambayo ni nzima au gari ambayo ntaifanya iwe ya biashara ya maji mimi mwenyewe. Kama ntapata canter, Mitsubishi, Isuzu itakua poa au aina engine...
Ninauza mak 2 1g nzima zaidi ya maelezo njoo na fundi wako kama utakuwa na wasiwasi picha zake ninazo nimeshindwa jinsi ya kuziweka hapa Jf ila kama uko whatsapp nitumie namba yako nichek 0655...
Habari wakuu,
Mwenye kuuza screen ya Blackberry Bold 9900(touch screen) ani PM.
Au mwenye kujua mahali naweza kupata naomba anifahamishe, nipo Dar es Salaam.
Mfano wake huu hapa chini:
Gharama za viwanja ina range kuanzia
2-8million.
size zipo kuanzia 906 sq.meters mpk 284
sq.metres.
Kupata access ya taarifa zaidi ; check
0657909032 au 0753377881
Wakuu juzi kati nimedondosha simu yangu bahati mbaya imevunjika Screen tachi. Je naweza kuipata wapi na gharama yake ikoje?
NB: Simu bado inatumika kama kawaida ila muonekano wake sio mzuri.