Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama tangazo linavyosema niko dar na natafuta na dish Lake..Aliekua nacho anicheki tufanye biashara.. 0712220207
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Usihangaike kujenga Nyumba bila Design nzuri, Wasiliana nasi tukudizainie na tukuchoree Ramani ya kisasa ya Nyumba yako. Pia tunafanya makadirio ya gharama zote za ujenzi. Wengi wanajenga sasa...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
100,000 per month hostel at kinondoni b,new one 100,000 include water,electricity.also back up generator is available for 24 hours, our policy is one bed one student.now we are accepting 2 month...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wapendwa taa za solar *inacharge kwa mwanga Wa jua* *inacharge kwa umeme pia* *inaswich mianga miwili* *inacharge simu pia* *inatumika si chini ya Massa 15* *kwa sh 30,000/ tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
...Nahitaji Dish la Dstv bila King'amuzi.. Nipo Dar.. Mwenye nalo anipm tuongee biashara
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Wakuu kama kuna mtu ana supply maji poa kwenye maduka ya jumla mitaa ya segerea tafadhali ani PM tufanye biashara Asanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza Mack ii 1g 6 nimeweka engine nyingine mwaka jana haina tatizo la aina yoyote kila kitu kinafanya kazi. Nimeshindwa jinsi ya kuweka picha zake humu JF waweza kunitumia namba yako nikutumie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta notebook laptop ambayo ina nguvu, either Intel core i 5 au 7, au AMD A8 au zaidi, RAM 6GB au above. Naweza pata wapi pc kama hii kwa bei nzuri. Hasahasa kwa Arusha au Dar. Asante
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Viwanja vinauzwa kigamboni eneo la Mwembe mdogo kuna heka moja,nusu heka na 20 kwa 35 bei nzuri kwa aliyeyari ani pm tuzungumze Kazi njema
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Simu husika hapo...aliyenayo tuongee
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Natafuta ps3 au ps4 kwa mwenye nayo budget yangu ni TShs.300,000/=
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Husikeni na kichwa cha habari hapo,, Kama kuna mtu humu anafanya biashara za vifaa vya electronics anisaidie devices hizi:: Encoder:HT-12E mbili. Decoder:HT-12D moja tu. Rf module(TX-433.93MHZ...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Husika na mada tajwa hapo juu.Nauza simu aina iyo sim iko pouwa kabisa imetumika mwez mmoja t iko katika mazingra mazur.Ila ina kitatizo kidogo sana cha spika ya nyuma inakwaruza kuhusu ilo nadhan...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Anahtajika kijana mdogo kwa ajil ya kaz ya kuuza nguo SIFA Awe mchamungu na mwaminifu awe mchangamfu Awe tayar kufanya kaz kulingana na maelekezo atakayopewa Kwa mawasiliano zaid 0766866683 au...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau, Ninauza vifaa kadhaa vya kuanzishia au kuendeshea biashara ya car wash kama ifuatavyo: Presher washer aina Portatechnica yenye pressure guns mbili-Condition almost new-Bei 800,000/= Wet...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Wakuu, natafuta screen ya laptop tajwa hapo juu. Mwenye nayo anipm tufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
603 Views
Habari za muda huu. Mimi ni mmiliki wa Tv ya kisasa aina ya Philips Flat Screen Inch 20. Natafuta mtaalamu wa kutengeneza kioo/screen kwa kuwa hiki kideo kilipata hitilafu ya kuteleza na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
A 3 bedroom house in Sinza "Queen of Sheba", is for rent, only 400,000/= per month, six months advance payment can be accepted. Please contact us on 0655957715..
1 Reactions
0 Replies
798 Views
machine hyo inataka 1.3 CANON IR 2020 0652871546
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana.Kwa wale walioko Mwanza wanaohitaji kupata huduma ya video recording kwenye matukio yao mbalimbali kama harusi, sendoff, ubarikio n.k na video recording za kwaya tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Back
Top Bottom