nauza kiwanja arusha 4,500,00

nauza kiwanja arusha 4,500,00

Mbudi

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
597
Reaction score
162
Kiwanja kipo kisongo pembeni ya soko ukubwa 20*22 ninamatatizo na kesho ndio hukumu ya kesi yangu napokea hata nusu nyingine ndani ya mwezi mmoja 0764 759 314 kwa anaye hitaji
 
sorry 4,500,000 umeme upo maji yapo
 
Kweli una matatizo, hicho kiwanja hakina bei, bei yako ni hiyo nusu? Weka mambo hadharani upate msaada wa haraka wewe, utafungwa kwa uzembe.
 
Isije kua kesi yenyewe Inahusu hicho hicho kiwanja.
 
Back
Top Bottom