Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,142
- 2,501
karibuni
Ni viatu aina gani?
Raba mtoni, Four angle au Boots?!?!
Weka na mfano kwa pcha
ni mchanganyiko... Ni viatu vzuri
unaweza kuta raba hasa zile za converse. Tena vingi unaweza kuvikuta kama havijawahi kuvaliwa
mchanganyiko mwingine ni viatu vya ofisini, sandles, viatu vya mpira n.k
Mkuu ungetuwekea picha tukaona kidogo ingetupa motisha wa kuja kufanya biashara nawe pls picha basi
je na nguo huhuzi kwa mabelo ?
Mkuu hujui kuweka picha? Nikupm namba yangu unitumie picha?