Natafuta chumba Mabibo, karibu na chuo cha NIT

Natafuta chumba Mabibo, karibu na chuo cha NIT

RJ45

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2014
Posts
340
Reaction score
119
mada inahusika!
wakuu mm natarajia kuanza first year hapo chuo cha usafirishaji mabibo hivyo natafuta chumba cha karibu na chuo! kama kuna mtu anaweza kunisaidia karibu hapa tafadhali!
 
bado nahitaji wadau
 
asante mkuu nitakucheck
 
Back
Top Bottom