habari wana JF...
nimeona mashine inaitwa Lumber pro, ktk you tube, ila nimejarib kuwatumia mail haijajibiwa kwa muda sasa.
labda kwa wanaojua zaidi ni katika sait gani naweza kufanya...
Wakuu wapi naweza kupata mashine ya kamari kama hii kwa kununua hapa Tanzania manake juzi juzi mchina fulani alizileta hapa ushirombo Geita watu tukawa tunakula hela sio mchezo ila akaja kuzitoa...
Wakuu nilinunua bidhaa from China via eBay lakini loooh Leo ni siku ya 20 bado havijafika na zingine kila nikijaribu kutrack naishia kuona pameandikwa " operation complete" na nyingine naambiwa "...
Nitakuwa mbeya kesho kutwa kama utahitaji kutengenezewa incubator kwa gharama nafuu na yenye ufanisi wa 86% tuwasiliane kwa no. 0754078015.
Nitakua Mbeya mjini.
Uongozi wa kbn media group, tunawatangazia watu wote kuwa tunatengeneza blog na tovuti.
Kwa bei rahisi na kutengeneza adsense acc ambayo itakusaidia kiuchumi. Utalipwa mpaka dolla 300 kwa mwezi...
Wana JF na umma kwa ujumla kiwanja cha biashara chenye ukubwa wa mita za mraba 4000 kinauzwa maeneo ya Ununio nusu kilomita kutoka ufukweni na kama nusu kilomita kutoka barabara ya Bagamoyo...
Jipatie cm zifuatazo kwa bei nafuu.
Note 1 kwa 250,000/=
Note 2 kwa 400,000/=
Note 3 kwa 700,000/=
Note 1 imetumika kwa miez 3 bado ni kama mpya note3 na note 2 hizi bado mpya zipo kwenye mabox...
Ndugu Wanajamvi,
Sijui kama laptop huwa zina housing. Mimi natafuta housing ya Samsung Laptop 16 Inches yenye rangi ya nyeusi.
Fundi yeyote aliyo nayo au kama unamjua aliyenayo anitumie picha...