Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Shamba liwe dar au Pwani Kama ni Pwani iwe mkuraga au Bagamoyo Nawasilisha.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaji Isuzu injection kununua. Bei maelewano ila inaanzia na Tsh 3m na kuendelea. Ikiwa popote hata ifakara au Tabora tutaifuata. Iwe Tipper au boxboard sawa tu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HDD 500GB, RAM 4GB, DVD/RW, 15", Windows 8 Pro. Age 7 months. TZS. 600,000/= (Fixed Selling Price). Serious Buyers only should PM.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama unayo weka bei na picha nithaminishe. Niko Dsm Angalizo: Iwe OG sio clone.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rafiki yangu anahitaji kiwanja Mbezi beach barabara ya chini. Maeneo ya Rainbow mpaka Round About ya Whitesands. Ukubwa 1500-1800sqm. Kiwe na document zote. Bajeti 200-250M. Kama una...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta boxer pikipiki used iliyo kwenye hali nzuri niko Morogoro itoke Morogoro, Dodoma au Dar es salaam..... Call 0763389464
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale wanunuz wa Amira kwa jumla na Wale wanao dili na usamabazaji na uuzaji wa hydrocloric acid Naomben tuwasiliane zipo kontena zenye mzigo huo zinauzwa Piga simu 0656436662
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Habari zenu waungwana.mie ni mtaalamu wa maswala ya Umeme,natoa ushauri na pia nafanya izo kazi za Umeme,nafanya wiring na pia narekebisha hitilafu katika nyumba. Napatikana ilala nipo jengo la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu ,kwa yeyote anayehitaji blogs ,AdSense au Facebook multi poster tuwasiliane kwa namba 0687 535650 ,Bei ni karibu na bure kabisa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Wadau. Shamba la heka moja linauzwa eneo la Makurunge (Njia panda ya kwenda saadani) Bagamoyo. Km 1 kutoka barabara kuu ya Bagamoyo- Msata. Bei 1.5 Mauziano yatafanyikia kwenye ofisi ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nasafirisha parcel ndogo ndogo kati ya dar na zanzibar... Duration maximum 3 days and below.. Price 5000 tu.... Karibuni.
0 Reactions
45 Replies
8K Views
nataka nunua dengu mbaazi choroko Kwa mwezi Tani 500 kwa mwaka pls yeyote yupo tayari anipigie simu 0676019019. Asante sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Durability iko vizuri znaitwa OLPC means one laptop per children unaweza kuzitafuta hizi kwenye mtandao
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu kwa wale wazalendo wa kweli katika kukuza viwanda vya ndani nauza aina ya viatu(pichani) kwa shilingi laki moja (100,000) tu kwa jozi moja ya kiatu..... Karibuni sana
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Specification zake Toshiba dynabook Satelite T.20 140/c/s RAM 512mb,HDD 56GB,Processor pentium( R)M1.60GHZ.System window 7,32bits. Ina web camera pia. Ina tatizo dogo la keybord xo had utumie za...
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Sasa unaweza kuletewa samaki aina ya Sangara na Sato fresh kutoka Mwanza hadi hapo kwako. Nitumie private message maarufu kama pm ukinifahamisha unapatika eneo gani hapa Dar, kiasi unachoweza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NI MACK ll 1G GRAND KILA KITU KINAFANYA KAZI NA PIA NIMEWEKA HAPO MASHINE NYINGINE KUKUAMISHA ZAIDI UNAWEZA KUJA NA FUNDI WAKO ATEST PICHA ZAKE NINAZO NITUMIE NAMBA YAKO YA WHATSAPP NIKUTUMIE...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nauza laptop used ni samsung mini.bei 250000 niko magomeni.mawasiliano 0686979746
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu JF, Ninauza iPhone 6 , 64GB. Slightly used but in a very good condition. Going at Tshs.1.2m (Fixed Price) Serious buyer please PM.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,jamaa na marafiki..poleni na majukumu ya wiki nzima na ni imani yangu kua mko na weekend nzuri na salama... Wiki iliyopita katika mihangaiko yangu ya kutafuta office ya...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…