Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za mchana. Office inapangishwa ipo eneo la Mikocheni karibu kabisa na suma jkt njia ya kwenda kawe. Ina parking kubwa ya kutosha. Jengo lina vyumba vitano, sehem ya jiko na choo. iko...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Greetings, great thinkers, I am here to ask for your cooperation in this attempt of national building and seeking the daily bread. As a way of beating poverty and seeking financial freedom, I...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau natafuta gari tajwa hapo kwa ajili ya biashara ya daladala! Gari iwe na sifa hizi 1. Iwe nzima kabisa na inafanya kazi! 2. Isiwe imefanyiwa overhaul (kubadilishwa engine) 3. Iwe walau...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
nipo Morogoro mizigo ni Vtu vya Ndani Kama Unafahamiana Na dereva Naomba Unisaidie Namba!! mmbarikiwe
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu ninahitaji Toyota IST, iwe katika hali nzuri budget yangu ni 8mlns, ila tunaweza kuongea pia in case unaiuza kwa bei ya juu kidogo...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Habari nyote. . nahitaji mpishi/mtaalam atakaepika vizuri vyakula mbalimbali kwa ajili ya restaurant inayoanzishwa Mwenge Dar es Salaam. Atakaevutiwa tafadhali nichek kwa namba hii 0688 353535.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari.. tunauza kinywaji cha dragon (energy drink) kwa bei ya jumla tsh 37000 per caton (24 pic) 500ml call 0714 9616 61 or 0756 090 222 dar es salaam
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Natafuta PSP game
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi, kwa yeyote anaeweza kusaidia upatikanaji wa vyumba vya kupangisha Chanika tuwasiliane 0717396677
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Make Nissan Model X-Trail Price Tsh mil 11 Year Manufacture 2002 Fuel Petrol Transmission Automatic Body type Station wagon Mileage 160000 Imeingia Tz ikiwa imetembea Km 120000 hivyo kwa Hapa Tz...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napangisha chumba changu kwa bei ya elfu 40 kwa mwezi,chumba kina dari la gypsum,rangi nzuri na kikubwa,nililipia miezi 6 sasa nataka kuhamia gongo la mboto chuoni,kwa hiyo atakayehitaji anitafute...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Pata kitabu kitakachokupa maarifa yoote unayohitaji kama mjasiriamali katika ulimwengu wa sasa hapa Tanzania. Jifunze njia mbalimbali na aina tofauti za biashara ambazo unaweza kufungua. KWA...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Kama misimu mingine iliyopita JAPAN Kama kawaida kamapuni ya magari ya japani inaendelea kutoa zawadi ya magari ya bure msimu huu wa sikukuu sasa ili kujua jinsi gani unaweza pata gari hizo ingia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nauza gari hiyo, Mataili yote mapya yana siku 4 Shockup zote zimebadilishwa. Betri mpya Boll joint zomebadilishwa . Bushi safi kabisa AC inafanya kazi. Matengenezo: Pale mbele kwenye plate...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Toyota Noah 2002 Kilometers 121000 Price 11.5 Million ( Maongezi Kidogo yapo) Color Silver Contact 0676971097 Full Ac na Mziki Vibali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Spec zake intel Core i3 2.6 ghz 6 GB ram 2 GB graphics card 500GB HDD win 10 pro software recently highly updated used 2 months Almost new no scratch
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Pata gari kma passo,vtz,ist na kadhalika piga namba 0656-436662
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Bei yangu ni 30000 tu rejareja, jumla 26000 kuanzia pair 6. Whatsapp tu 0629586817
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu tafadhali husika na kichwa cha uzi, tafadhali supplier naomba ajitokeze. Namba yangu ni 0754729751
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nisaidien sana Kiwe kinondon studio mwananyamala biafra makumbusho mkwajun ,,,, ata kawe mikochen kijitonyama ostabei polis bei isizidi efu sabini ni chumba cha kulala sio stoo. Nitakupa efu...
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…