BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,258
Wadau natafuta gari tajwa hapo kwa ajili ya biashara ya daladala!
Gari iwe na sifa hizi
1. Iwe nzima kabisa na inafanya kazi!
2. Isiwe imefanyiwa overhaul (kubadilishwa engine)
3. Iwe walau kuanzia number B na kuendelea!
4. Isiwe inadaiwa kodi za serikali
5. Kama ikiwa maeneo ya Dar na mikoa ya jirani itapendeza zaidi!
Kama una gari tajwa hapo juu Tafadhali tuwasiliane tufanye biashara...
Naomba dalali msiniulize budget yangu maana sometimes huwa mnapandisha bei ya kitu kulingana na budget ya mteja....sina limit sana ya bei, just come with your quotation!
Tuwasiliane kwa 0785418101, or pm