Office yenye parking kubwa inapangishwa Mikocheni, Dar

Office yenye parking kubwa inapangishwa Mikocheni, Dar

m-yala

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
68
Reaction score
95
Habari za mchana.
Office inapangishwa ipo eneo la Mikocheni karibu kabisa na suma jkt njia ya kwenda kawe.
Ina parking kubwa ya kutosha.
Jengo lina vyumba vitano, sehem ya jiko na choo. iko ndan ya geti sehemu salama na barabaran sana. Maji yanapatikana na umeme pia.
Inakodishwa dola 2000 kwa mwezi.
kwa mawasiliano zaid nipm tufanye biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom