Chumba cha kupanga ubungo kibo gide

Chumba cha kupanga ubungo kibo gide

Medecin

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
8,736
Reaction score
24,029
Napangisha chumba changu kwa bei ya elfu 40 kwa mwezi,chumba kina dari la gypsum,rangi nzuri na kikubwa,nililipia miezi 6 sasa nataka kuhamia gongo la mboto chuoni,kwa hiyo atakayehitaji anitafute kwa 0718151415. Unaweza kulipia hata miezi mitatu iliyobaki halafu mwenyewe utaingia mkataba upya na mwenye nyumba baada ya muda huo kwisha.
 
napangisha chumba changu kwa bei ya elfu 40 kwa mwezi,chumba kina dari la gypsum,rangi nzuri na kikubwa,nililipia miezi 6 sasa nataka kuhamia gongo la mboto chuoni,kwa hiyo atakayehitaji anitafute kwa 0718151415. Unaweza kulipia hata miezi mitatu iliyobaki halafu mwenyewe utaingia mkataba upya na mwenye nyumba baada ya muda huo kwisha.

ubungo ipi? Ntakuchek
 
Back
Top Bottom