Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

wadau, hasa wanaoishi Zanzibar naomba msaada wenu, Nitakuwa Zanzibar kikazi kwa mwaka mmoja kuanzia mwezi wa sita. Natafuta Nyumba ya kupanga 2 Bedrooms ikiwa master room ni vyema zaidi...
1 Reactions
23 Replies
18K Views
Zipo aina kadhaa za kutengeneza CHAKI kulingana na uwezo wa mtu binafsi. Kwa kijana mjasiriamali unaweza kuanza na mashine ndogo na baadae ukishakuza mtaji unaweza kutafuta mashine kubwa zaidi...
2 Reactions
4 Replies
8K Views
Heavy Duty Scale Balance 1. 80 Tonnes (Used) - Tsh 76.3M 2. 60 Tonnes (New) - Tsh 81.75M Karibu
0 Reactions
4 Replies
451 Views
Habari wana JamiiForums, Kuna kitabu changu ninakiandika, na bado kidogo kukimalizia. Nataka kujua ni utaratibu gani niufuate ili niweze kukiingiza sokoni na pia nahitaji kujua gharama za...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF za kazi? Naomba msaada wenu kuna Idhaa ngapi za kimataifa za Kiswahili duniani. Naomba mnisaidie kuzitaja na nchi zilipo. nafanya utafiti. Na kwa walioko katika Funga nawatakia Saum Maqbull
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habarini, wapendwa nilipata shida kidogo nilikuwa nataka kujua wapi naweza uza pete ya Tanzanite kwa Dar es salaam?
1 Reactions
3 Replies
521 Views
Habari zenu wadau, Nipo mwanza nilkuwa nauhitaji wa winchi kubwa kwanzia TAN 25+ Please mwenye kujua anijuze naipata wapi 0614853457 pls
1 Reactions
6 Replies
527 Views
Nunua kiwanja kwa bei chee. Mbezi Msakuzi Makabe 18×22 kiwanja kina nyumba kuu kuu ya vyumba 3 bei mln 20 Kiluvya Gogoni 22×25 bei mln 9 Kiluvya kwa Komba 20×20 mln 6 Kiluvya kwa Sumaye...
2 Reactions
270 Replies
19K Views
Hi Ni router za ukweli sana hauhitaji router ya kila kampuni insupport mtandao wowote ule online kama unapata si chini ya 200,000 hata kwenye soko la china.. Mimi nauza nusu bei yaani 120,000...
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Hotel Amenities kwa nusu bei!!! Tunauza Bidhaa za kipekee za kisasa. (International Standards) Zimetengenezwa mahsusi kwa Hoteli za Nyota 3 na kuendelea. Tunazo Dental kits(Mswaki na dawa yake)...
0 Reactions
3 Replies
447 Views
Tofauti Kati ya Mji Mdogo (Township Authority) na Mji Kamili (Town Council) Mji mdogo (Township Authority) na mji kamili (Town Council) ni ngazi mbili tofauti za utawala wa miji, zenye mamlaka na...
1 Reactions
0 Replies
530 Views
Habari, naomba kujua aina gani ya Chainsaw mashine ni bora kwa kupasua mbao Na bei zake zikoje kwa Dar Nasoma coments
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza gari aina ya IST namba CLW Bei ni mil 6.6 (inapungua kidogo) Gari ni nzima sana Napatiakana Shekilango nyuma ya ofisi za Shabiby na mawasiliano ni: 0659781878 Madalali plz hapa si mahala...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Looking for a serene yet central place to stay while in Arusha? Welcome to Parrot Hotel Arusha, where luxury meets affordability. Whether you're in town for business, safari, or a relaxing...
1 Reactions
4 Replies
629 Views
• Direction: Opposite JNI Airport, Nyerere/Pugu Road • Facilities: 3 frames, 1 warehouse • Plot Area: 590 sqm • Document: Title deed • Price: TZS 320 million • Site visiting charge: TZS 30,000 . ✓...
1 Reactions
0 Replies
317 Views
5 bedrooms,1 master bedroom Ina kisima cha maji safi na tank lake Eneo sqm 1000 Parking space ya kutosha ata gari 8 Title deed Bei 190m mazungumzo More details 0715877076
0 Reactions
4 Replies
465 Views
Ina fremu 8 na vyumba vi5 Ipo opposite na mwendokasi Imegusa barabara kubwa ya lami Eneo sqm 400 Clear title deed Bei 800m mazungumzo More details 0715877076
0 Reactions
0 Replies
333 Views
Tunatafuta eneo lililo karibu na barabara kwa ajili ya kuhifadhi mchanga, matofali, na vifaa vingine vya ujenzi. Tunatafuta mtu mwenye eneo na ambaye yuko tayari kushirikiana nasi kwa makubaliano...
4 Reactions
3 Replies
358 Views
Wakuu, Ninatafuta mashine ya kutengenezea juice ya miwa. Kama unafahamu inapatikana wapi nakuomba unielekeze. Preferably ndani ya mipaka ya Dar es Salaam. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
135 Replies
57K Views
Habari? Je unahitaji BUSINESS CARDS? wasiliana nami leo niweze kukufanikishia.. Business cards 100 kwa Tsh 25,000/= tu UNAHITAJI VIPEPERUSHI? Kwa mahitaji ya Vipeperushi pia unaweza wasiliana...
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Back
Top Bottom