Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jinsi Kuandaa Mkataba Wa Malipo Ya Awamu Ya Kiwanja (Land Installment Contract) Maana Ya Land Installment Contract Land installment contract (kwa Kiswahili, mkataba wa mauzo ya ardhi kwa awamu)...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam, Nahitaji kontena la futi 20 lililotumika liwe Mkoa wa Dsm. Liwe katika hali nzuri (halivuji, halina kutu) Mwenye nalo njoo DM. =65&hash=735915e41f15bfcf354a0b66ea806df8']Attach files
2 Reactions
0 Replies
318 Views
Naombeni sapoti yenu. Nimefungua Pub yangu Kinyerezi Mahakamani (Mnadani) inaitwa Run way pub. Asanteni Pia karibuni sana.
35 Reactions
452 Replies
11K Views
• Direction: Kinyerezi • Facilities: 4 bedrooms, 2 washrooms • Plot Area: 940 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 320 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ nyumba (ghorofa) ina vyumba...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
• Direction: Mwisho • Facilities: 4 bedrooms, 2 washrooms • Plot Area: 400 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 250 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ nyumba (ghorofa) ina vyumba master 2...
1 Reactions
2 Replies
516 Views
🔊 MziKi mNeNE 🔊 *Sabufa ni mpya, Ina wiki tatu tu tangu itoke dukani. Ina njia mbili za umeme, AC na DC, yaani inapiga kazi hata kwenye solar au betri tu ya gari au pikipiki. Ina Bluetooth FM...
2 Reactions
8 Replies
828 Views
Ina vyumba 4, viwili master bedroom. Kiwanja kikubwa, square meter 1200 Umbali km 1 kutoka Morogoro road. Umeme na maji vipo Bei milioni 45
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Kama kuna mtu au wataalamu wa kupuliza dawa majumbani ninaomba tuwasiliane kuna wadudu wanakula mbao za dali ninaitaji sana kama yupo tuwasilane kwa kazi hii
2 Reactions
3 Replies
382 Views
Wateja wetu ambao mliweka oda ya incubator za body ngumu [hardboard] za mayai 120,528 hadi 10000 mzigo tayari umefika karibuni mifugo plus mjipatie wahi material ya sasa ni imara na magumu...
0 Reactions
0 Replies
519 Views
Kwa Dar es salaam kuna maeneo ambayo viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3? Upimaji usiwe Kwa foot Tuseme mfano Kwa 20m Kwa 20m Kwa kuanzia. Kigezo eneo lolote ila iwe ndani ya Dar Wajuzi mtujuze📌
9 Reactions
97 Replies
3K Views
Habari wana Jf Je unateseka na simu yako sababu ya kioo? usikate tamaaa suluhisho limepatikana. Je bado unateseka na chaja yako kuharibika mara kwa mara. Sasa agiza na mi china kifaa original kwa...
0 Reactions
2 Replies
619 Views
Kama unamzigo wowote kutoka Congo na zambia. Mzigo wowote tunakuvushia upande wa Tanzania Kwa usalama kabisa. Nipo boda ya Tunduma. Kama una mzigo tunaweza fanya kazi. Muda wowote.
4 Reactions
20 Replies
946 Views
Habari za asubuhi wakuu. Nahitaji Kidney Beans kwa wingi. Mfanyabiashara au mkulima mwenye kidney beans ile kubwa anicheki tufanye biashara. Iwe safi na nene. Kwa kuanzia inahitajika tani 60...
0 Reactions
0 Replies
386 Views
KWA BEI YA 170,000/=TSH TU TUNAKUPATIA INCUBATOR YAKO YA MAYAI 30 . #SADAKALAWE ●SIFA YA MASHINE YETU YA MAYAI 30 ■Inageuza mayai yenyewe. ■Inamfumo wa kupima yai lenye mbegu. ■Inakuja na...
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Nafanya clearing za mizigo ya aina yote bandarini. Mawasiliano: WhatsApp & Call 0652802379
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Wakuu Kwa sasa nahitaji kununua ardhi kuanzia hekari 4 Naomba kujua wapi napata ARDHI Kwa bei 150000 Hadi laki 2 kushuka hapo. Natanguliza shukrani kwako great thinker🏆
1 Reactions
2 Replies
453 Views
Habari wadau. Nimehatika kupata kazi hospital ya muhimbili hivyo nahitaji chumba na sebule maeneo ya upanga ofa yangu ni laki mbili kwa mwezi
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Natafuta chumba au nyumba iwe master, eneo la Makongo Juu karibu na sheli ya Oryx au iwe mbali kidogo na sheli hiyo lakin upatikanaji wa usafiri uwe ni wa huakika kwenye barabara inayopita katka...
1 Reactions
2 Replies
487 Views
NAHITAJI CHUMBA(MASTER) YENYE CHUMBA KIMOJA MASTER NA JIKO, KIWE NDANI YA FANCE IWE KINONDONI AU MWANANYAMAKA KARIBIA NA BARABARANI. NICHECK WHATSAPP 0659741342
2 Reactions
10 Replies
747 Views
CHUMBA MASTER MPYAA 💥💥 PIA KUNA CHUMBA MASTER NA SEBULE MPYA . LOCATION : TABATA KIMANGA. DSM (A) Chumba Master ya Kibachela Mpyaa -- Kodi 100,000 miezi 6 (B) Chumba Master na Sebule...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom