Wakuu habari Zenu?
Kama kichwa cha uzi kinavyouliza kama wewe ni mwanafunzi, au unajihusisha na maswala ya tafiti ninaomba nikupatie Msaada wa kitaalamu ili kufanikisha kazi yako ya tafiti. Nina...
Wana JF walioko Marekani waende kuandamana nje ya Ubalozi au Nyumbani kwa Billal DC kuulizia nini kinaendelea kuhusu 'kifo cha Billal' au kutafutwa kwa Billal, kama wanamtafuta, na 'Mwili wa...
Ni kiwanja namba 696 kina ukubwa wa sqm 12570. Matumizi ni Housing Estate. Kipo Mtaa wa Vikonje Kata ya Mtumba Dodoma Jiji. Bei ni 6,000/ kwa sqm moja. Kinafaa kwa shule, ofisi, apartments, hotel...
Habarini zenu wakuu, karibuni mjipatie dagaa safi wa kukaanga kutoka Mwanza,
Wana viungo vya kutosha, watamu sana, wana radha ya kipekee.
Tunapatikana Dar_ Ubungo, delivery zipo popote unaletewa...
Huduma za Printing, Scanning, na Photocopy kwa Wanafunzi
📢 Wanafunzi wa Vyuo Mnakaribishwa! 📢
Unahitaji huduma za haraka na nafuu za stationery? Karibu Dodoma Mjini kwa huduma za:
✅ Printing za...
Helloooo
I go by the name Ndelabhoy Barber,
Mzaliwa wa Dar,
Mkazi wa Mwanza
Jinsia 🐐
Umri wangu 26#
Karibuni saluni kwangu
Pia nakunyoa popote ulipo tanzania,
Me mgeni humu jf, naombeni support...
Ni mama nawatt wawili ninamiaka 30 ..kitu cha thamani nilichobaki nacho Ni iyo TV Tu sasa naiuza niweze kufanya biashara Na kulipa kodi naamin Mungu ataniwezesha ntanunua bdae mambo yaikaa Sawa...
Nina shida na fridge inayo tumia mafuta ya taa na nimetafuta kwa arusha sijapata na nilionana na yule mhindi Benson and Company anaye uza fifaa mbalimbali vya nyumbani akanieleza alikuwa nazo ila...
Salama wakuu..
Kuna system nzuri kwa ajili ya kumanage dispensary inauzwa
Feautures
1. Kurecord wagonjwa
2. Kurecord Dawa
3. Mapato na matumizi
4. Laboratory
5. Taarifa za wagonjwa
Bei ni nzuri...
Mitandio ya cotton na Mpira plain inapatikana
Cotton bei ya rejareja sh 8000, bei ya jumla sh 7000 kuanzia mitatu.
Mpira plain imebaki miwili, bei yake kila moja sh 5000.
Mawasiliano 0784 829565
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.