Hello JF
Tunafanya mauzo ya vifaa vya maofisini vilivyoisha muda wake kwa policy ya shirika letu. Vitu hivyo vinauzwa kwa pamoja na viko katika makudni mawili
ICT equipments
Vinginevyo
kama...
Altezza namba C inatembea, iko vizuri bado. Haina tatizo. Bima kubwa, registration ipo kamili. Maswali na majibu yote utapata kwa simu namba 0713399109. Serious calls for serious buyers only.
TOYOTA VITZ
Bei: 5,300,000 (INAPUNGUA KIDOGO SANA)
Mwaka: 2000
Aina ya Mafuta: PETROL
Umbali: km 156,000
Injini (cc): 990
Transmission: AUTOMATIC
IMELIPIWA VIBALI VYOTE
FULL AC NA MZIKI SAFI SANA...
2 in 1 Plot at Kitunda Magore kwa Mpemba. Sehemu imetulia. Viwanja vimepimwa kienyeji kwa kuzingatia miundo mbinu yote especially barabara zenye upana wa 5Meters.
Size, 900Sqmtrs.
Bei...
Nahitaji gari:
Aina: Toyota Voltz,
Rangi: Silver, Blue, Black ama nyingine yoyote ila sio nyeupe.
Bejeti yangu : Millioni Saba.
Iwe katika hali nzuri na iwe haidaiwi na TRA.
Kama unayo weka...
Kwa mwenye uhitaji wa used desktops computer an flat screen monitor na CPU Za IBM na HP compaq tuwasiliane kwenye whatsapp yangu 0778080031 ili tufanye Biashara. HP ina specification HDD 250 GB...
Nimeleta mkaa gunia 100, hapa dar. gunia lina ujazo wa mbavu mbili almaarufu shanga mbili. ni mkaa mzuri wa mti pori.
Bei ni 45,000 kwa gunia. mwenye uhitaji anaweza nicheki kwa namba 0714 407095
Heshima kwenu brothers and sisters
Nyumba ya familia inapangishwa yombo vituka nyuma ya airport.. Maarufu kama Jet lumo ( kwa jimy " woodland pub") 3km from jk nyerere airport and 11 km from...
Iwe chini ya 21 inches kama kuna mwenye uelewa aniambie ni brand gan nzuri, nyingi naona picture hazipo HD.
Ukinipm itakua bora zaidi, huu umeme pasua kichwa, bei iwe ya kitanzania.
Habari wadau.
Mimi ni mzalendo wa nchi hii, nataka kufungua taasisi ya kutoa mafunzo ya kompyuta kwa vijana wenzangu. Nataka nijulishwe duka ambalo linauza kompyuta used kwa bei nafuu ili...
Naomba mwenye kujua Mawakala au Maduka ya jumla ya madawa ya kilimo kwa hapa Dar.
Nahitaji dawa ya kuua Magugu yoyote nzuri Kariakoo sijaliona duka la jumla naona bei zao zipo juu sana ni km...
Habari wanajamvi, natafuta Tv 32 inches original Samsung au LG ka affordable price.
Pia natafuta housing ya Samsung Laptop NP300E5V
Nitumie Picha WhatsApp 0719579733 tunegotiate price kama...