Natafuta duka zuri linalouza used computers hapa Dsm

Natafuta duka zuri linalouza used computers hapa Dsm

emkey

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
728
Reaction score
137
Habari wadau.

Mimi ni mzalendo wa nchi hii, nataka kufungua taasisi ya kutoa mafunzo ya kompyuta kwa vijana wenzangu. Nataka nijulishwe duka ambalo linauza kompyuta used kwa bei nafuu ili niknunue pc kadhaa.

Specs za kompyuta hizo ziwe kuanzia pentium IV hadi duo core na pia ziwe na vigezo stahiki yaani ram kubwa, processor na hard disk kubwa. ikiwezekana naomba nitajiwe duka na contacts zake ili iwe rahisi kwangu kuwasiliana na duka husika.

Karibuni wadau 0714-408238.
 
Nenda Machinga complex zipo nyingi sana na maduka kibao
 
Kwa mwenye uhitaji wa used desktops computer an flat screen monitor na CPU Za IBM na HP compaq tuwasiliane kwenye whatsapp yangu 0778080031 ili tufanye Biashara. HP ina specification HDD 250 GB, Ram 2 GB, na CPU ni 2 core dual 2.8 GHZ kila moja karibu na laki yako 3. IBM CPU 3.2 GHZ, HDD 80 GB na RAM 1 GB karibu na 240,000 TZS uhudumiwe
 
nenda mmachinga complex ukamalize kazi mkuu. hapo ni makao makuu ya vifaa hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom