Nauza mkaa kwa bei ya jumla

Nauza mkaa kwa bei ya jumla

JOSERICKS

New Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Nimeleta mkaa gunia 100, hapa dar. gunia lina ujazo wa mbavu mbili almaarufu shanga mbili. ni mkaa mzuri wa mti pori.

Bei ni 45,000 kwa gunia. mwenye uhitaji anaweza nicheki kwa namba 0714 407095
 
Back
Top Bottom