Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ikiwa unatumia fedha mara kwa mara kunyonya maji taka katika karo la nyumbani, shuleni, msikitini, ofisini na sehemu nyingine kama hizo, sasa tunaweza kuweka system itakayokufanya ukae zaidi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simu ipo katika hali nzuri ingawa ina some minor scratches, Pia touch yake imepasuka baadhi ya sehemu upande wa juu lkn imewekwa protector... pia inafanya kazi kama kawaida af pia ipo na cover...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta wauzaji wa Simu kwa jumla wawe kati ya Dar, Arusha, Tanga au Moshi..
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Simu ipo katika hali nzuri ingawa ina some minor scratches, Pia touch yake imepasuka baadhi ya sehemu upande wa juu lkn imewekwa protector... pia inafanya kazi kama kawaida af pia ipo na cover...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wana jamvi nilikua na shida na asali mbichi ya nyuki wadogo kwa ambaye anaeza nisaidia kuipata anicheki kupitia 0764339400. niko mwanza
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza hali imezidi ngumu sana nimeshindwa tu kuomba lakini nahitaji msaada wenu nauza simu yangu aina ya sSamsung s4. Nimeitumia mda wa mwezi mmoja. Nahitaji...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ambaye anauza AC ya Adsense anicheki tafadhali 0755801248.
0 Reactions
4 Replies
902 Views
Cement ya Simba kwa Jumla.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika kuelekea msimu wa sikukuu pata line hizi za wakala kwa bei nzuri. Tigo pesa 240,000 Mpesa 140,000 Airtel 90,000 Utapata na vitabu vyake ukihitaji . Karbuni. 0712191251
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ina vyumba viwili vya kulala, sebure na jiko. Ni nyumba mpya. Ipo Wazo Hill karibu na kwa Makamba. Kodi kwa mwezi sh 550,000. Kwa maelezo ya ziada au kuiona piga simu 0717114409
0 Reactions
2 Replies
851 Views
Kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya simu za mkononi na matumizi makubwa ya internet hasa mitandao ya kijamii,Nijuze inayo furaha kutambulisha mfumo ambao utaleta manufaa ya kiuchumi kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ram 4gb processor 2.66ghz quad core HDD 320gb na graphic card ya 1.5gb bei 200k nicheki 0718097972
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nimeshayauza asante jf mod nisaidie kufuta hii thread
0 Reactions
34 Replies
6K Views
plot ipo km tatu from kongowe na ni km mbili kutoka main road gari inafik a hadi kwenye eneo lipo tambarale
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nipo Tanga mjini,natafuta cement ya simba kwa jumla kutoka kiwandani au kwa agent. Mwenye nayo tuwasiliane kwa 0713 724242 Mchuuzi ahitajiki tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Noah inauzwa Dar es Salaam... bei ni milion 10 maongezi yapo kidogo sana, 0713806766.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari,wakuu! kuna nyumba nzuri inauzwa Ukonga Daressalaam,ina uwanja mkubwa wa sqr mtrs 1310 na visima viwili vya kisasa vya maji ya kunywa ukuta mzuri,maeneo tulivu na yakuvutia inauzwa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Simu ina Mwezi mmoja tangu imenunuliwa dukani... Receipt yake, charge pamoja na box Lake vyote vipo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Eneo lipo Kigamboni mwasongwa lina eka 5 jirani kuna shule, Eneo inapita barabara kubwa inatoka Mitwambi. Linafaa kwa matumizi ya Shule za bording, kiwanda nk.. Hili halina dalali Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…