Toyota Corola AE 100 inauzwa

Toyota Corola AE 100 inauzwa

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
13,384
Reaction score
11,281
Toyota Corolla ya mwaka 1999 inauzwa kwa 3.5m (milioni tatu unusu tu)
attachment.php
ni Manual bado AC yake nzima Body na hata viti
attachment.php
engine ni 5A cc 1498
ipo Dodoma na kwa maelezo zaidi ni PM nikupe contact za muhusika kwani Negotiable kasema ipo
attachment.php
 

Attachments

  • IMG_20151201_071009.jpg
    IMG_20151201_071009.jpg
    250.5 KB · Views: 421
  • IMG_20151201_071032.jpg
    IMG_20151201_071032.jpg
    250.4 KB · Views: 404
  • IMG_20151201_071245.jpg
    IMG_20151201_071245.jpg
    299.4 KB · Views: 401
Mkuu hiyo ni kwa watu dodoma tu na jirani tu naona.

Walio nje inakuwaje...

Ungekuwa Dar,,, ningetaka tuwasiliane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom